Naomba kupewa elimu ya namna ya kupata mwekezaji

Luv4ril

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
125
Reaction score
78
Heshma kwenu wana JF

Mi ni kijana wa kitanzania ambaye nimeajiriwa, lakini kusema ukweli ajira inaboa! Kutokana na hili, nimekuwa nikibuni idea za kibiashara. Mara nyingi nikiwaeleza watu idea zangu wanasema zinahitaji mtaji mkubwa ambao mimi binafsi siwezi kuipata hiyo hela hata kama nikipata mafao ya uzeeni hata hivyo sijakata tamaa.

Kwa ufupi naomba nipatiwe msaada wa namna ya kumpata mwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…