Naomba kupewa utaalamu juu ya AC za majumbani

Naomba kupewa utaalamu juu ya AC za majumbani

Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 9000BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 9000BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako

Shukran Jombaa!
 
LED_Dual_Split_Air_Conditioner__2_x_12_000BTU_.jpg

wakuu kwa maana halisi inawezekana kutumia mashine moja (iyo yenye feni %%bila shaka ndio yenye kutumia umeme zaidi%%) peke yake kwa ajili ya vyumba viwili tofauti ili kusev gharama ya kuwa nazo mbili?
 
Back
Top Bottom