Naomba kupewa uzoefu kuhusu bei ya madini ya green amazonite

Naomba kupewa uzoefu kuhusu bei ya madini ya green amazonite

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,911
Reaction score
1,315
Ndugu wana JF naomba kuuliza bei ya madini ya green amazonite na mtu mwenye kujua soko lake kwa hapa Tanzania. Ninaposema soko namaanisha ni wapi naweza kuuza au ni kina nani ambao wana"dili" na biashara hii.
 
Vp umefaniikiwa? green yako ni kuanzia gm ngapi na itategemea ni ya wapi? huwezi ambiwa bei kabla hayajaonekana coz kuna mengine yanakua na matatizo. mimi ni dearler
 
Hayo mawe ni kwa makilo na lazima ikolee rangi sio kupea na ya Mozambique ndio iko sana kwenye soko
 
Vp umefaniikiwa? green yako ni kuanzia gm ngapi na itategemea ni ya wapi? huwezi ambiwa bei kabla hayajaonekana coz kuna mengine yanakua na matatizo. mimi ni dearler
IMG-20170702-WA0008.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom