Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
Ndugu wana JF naomba kuuliza bei ya madini ya green amazonite na mtu mwenye kujua soko lake kwa hapa Tanzania. Ninaposema soko namaanisha ni wapi naweza kuuza au ni kina nani ambao wana"dili" na biashara hii.