N NZONG'A Member Joined Jun 11, 2015 Posts 17 Reaction score 2 Jun 15, 2015 #1 Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli.
Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 16, 2015 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 16, 2015 #3 NZONG'A said: Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli. Click to expand... Karibu sana jamvini
NZONG'A said: Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili. Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli. Click to expand... Karibu sana jamvini
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 16, 2015 #4 Karibu sana JF...
Bangsweezy JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 880 Reaction score 200 Jun 17, 2015 #5 Karibu mgeni JF
sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 382 Reaction score 350 Jun 17, 2015 #6 Karibu mgeni mwenyeji apone