Naomba kupokelewa humu ndani

Naomba kupokelewa humu ndani

NZONG'A

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Ndugu wanajamvi kwa moyo mkunjufu na Hekima naomba kupokelewa kwenye jukwa hili.

Ili na mm niweze kuchangia kama mtanzania nipo Tanga Bumbuli.
 
Karibu sana jamvini
 
Back
Top Bottom