Naomba Kupokelewa

Naomba Kupokelewa

baby zu

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
1,816
Reaction score
4,770
Wapendwa amani ya mungu iwe nanyi. naomba mnipokee nawapenda nyote. heaven on earth, evelyn salt,miss chaga napenda kuwa karibu na nyie sana. farkhina unanfurahsha sana hasa kwnye mambo ya mapishi kwani ndio hobby yangu. mzizi mkavu na mshana nawapenda mnajielewa, na wengn wengi ambao sijawataja hapa nawapenda
 
mapishi? isijekuwa we ndio mama Ndumbi.
 
Nimekupm namba yangu inabidi utume ada ya kila mwezi humo, cheers!
 
Wapendwa amani ya mungu iwe nanyi. naomba mnipokee nawapenda nyote. heaven on earth, evelyn salt,miss chaga napenda kuwa karibu na nyie sana. farkhina unanfurahsha sana hasa kwnye mambo ya mapishi kwani ndio hobby yangu. mzizi mkavu na mshana nawapenda mnajielewa, na wengn wengi ambao sijawataja hapa nawapenda
Karibu
 
Back
Top Bottom