DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mimi naulizia ya mwaka 2010 ya mawasiliano na Electronic /ya mwaka 2015 naifahamu vizrIngia google andika"cybercrime act 2015"utapata zote ya kiswahil na kingereza
sasa uitafuye google kama wewe ni mwanasheria hupashwi kuomba msaada humu!Mimi naulizia ya mwaka 2010 ya mawasiliano na Electronic /ya mwaka 2015 naifahamu vizr
Mimi sio mwanasheria mkuu Google nimeanzia huko lakin sikuipata labda nimepata ya ciber ya 2015.sasa uitafuye google kama wewe ni mwanasheria hupashwi kuomba msaada humu!
Mkuu, hakuna sheria kama hiyo ilishawahi kuweko hapa tanzania.Habar za Leo.
Naomba kuuliza juu ya Adhabu ya kutoa lugha ya kuudhi kwa mtu flani sheria ya mawasiliano na Electronic ya mwaka 2010 inasemaje?
Mwaka 2010 hakuna ilikuwa bado,mimi navyojua hizo sheria kwa tz zmeanza kutumika 2015Mimi naulizia ya mwaka 2010 ya mawasiliano na Electronic /ya mwaka 2015 naifahamu vizr