Naomba kusaidiwa Adhabu hiii

Naomba kusaidiwa Adhabu hiii

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Habar za Leo.

Naomba kuuliza juu ya Adhabu ya kutoa lugha ya kuudhi kwa mtu flani sheria ya mawasiliano na Electronic ya mwaka 2010 inasemaje?
 
sasa uitafuye google kama wewe ni mwanasheria hupashwi kuomba msaada humu!
Mimi sio mwanasheria mkuu Google nimeanzia huko lakin sikuipata labda nimepata ya ciber ya 2015.
 
Habar za Leo.

Naomba kuuliza juu ya Adhabu ya kutoa lugha ya kuudhi kwa mtu flani sheria ya mawasiliano na Electronic ya mwaka 2010 inasemaje?
Mkuu, hakuna sheria kama hiyo ilishawahi kuweko hapa tanzania.
 
Kwani kuna njia yakupata sheria kwa kiswahili google
 
Back
Top Bottom