Naomba kusaidiwa gharama za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kutengeneza maji

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
214
Kwa wanaojua gharama halisi za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kiwanda cha kutengeneza maji anisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani changamoto nikupata eneo/jengo,mashine na vibali tu.
 
Reactions: DVC
mkuu kuna uzi mwingine wa kuhusu kiwanda cha maji. Jaribu kuupitia, kuna baadhi ya mambo nimechangia kule. LInk yake hii hapa.


kuna tofauti kiasi kati ya mashine za juice na maji.Tofauti ni kwenye machine ya washing,filling and capping.Inaitwa 3-in-1.Utofauti wake ni kwenye juice ama tea inaitwa hot filling wakati upande wa maji sio hot filling.Lakini kama malengo ni kutengeneza fresh juce (pulp juice) unaweza pata machine ya 4-in-1.pia kama ni carbonated drinks kama coca,pepsi sprite nk ambazo zinakuwa za PET unaweza pata 3-in-1 machine na proces zingine zitakuwa ni kama za kutengeneza maji tu.
NB:SIFANYI KAZI KIWANDANI WALA SIUZI MASHINE HIZI,ILA NINAONGEA KWA UZOEFU WANGU WA MIAKA ZAIDI YA 5 KWAKUWA NIMEWANUNULIA WATU WENGI HIZIMASHINE TOKA HUKU NILIKO NA NIMEHUDHURIA TRAINING NYINGI ZA UFANYAJI KAZI WA MACHINE KABLA SIJA SHIP KWENDA KWA MUHUSIKA.
 
Hizi ni baadhi ya kazi nilizozikagua kabla sija fanya shipment
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
hizi ndizo machine za washing,filling and capping (3-in-1) na pia kuna 4-in-1) ya fresh juice.
Gharama ya complete set ya kiwanda cha maji ni kuanzia 50,000$ .Hii inategema components za capacity kiasi gani umechagua.
I hope nimekusaidia kwa kiasi fulani. All the best

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…