Kwa wanaojua gharama halisi za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kiwanda cha kutengeneza maji anisaidie tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USD 55,000 chenye uwezo wa 2,000 bottles per hour lakini ni za 500MM
Hii bei ni FOB au C&F?USD 55,000 chenye uwezo wa 2,000 bottles per hour lakini ni za 500MM
Hii bei ni FOB au C&F?
Merci
Hahahaha, ni sehemu tu ya mawazo na kutaka kujua babyBabe unataka kufungua hiko kiwanda?kama najiona nitakavyokuwa mke wa tajiri mjini hapa.
Babe unataka kufungua hiko kiwanda?kama najiona nitakavyokuwa mke wa tajiri mjini hapa.