Naomba Kusaidiwa.. Hii ni Ibada ya Freemason Kweli?

ha ha kumbe mtani wetu mm na kaka Bonny endelea kumtafuta bado tunamuhitaji asije akawa amepotea kwenye matambiko yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uskute kuna mtu kamfungia huko
 
We umejuaje ??..maana hiyo ni secret society .....!!!
 
Me naamini waliojiunga masonic wanatamani kujitoa sema tuwaombee tu maana duh pepo wasahau kabisa wata enjoy duniani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…