Wiziiiiiiiiiii mtupu.
Siku hizi watu maisha wamayakatia tamaa,yaani mtu anadiriki na kukaa na mwenzie na kufiria namna ya kuibia wenzie.
Yaani kama mungu hawamjui vile kwa pesa.
Na kijidai ktumia Nembo ya Ngao ili waonekane ndio wenyewe.
Mkopo ndani ya Dakika 45 yaani chini ya saa moja we umeuona wapi.
Kwa kukusaidia tu Nimewasiliana na NBC na wamesema watu hao hawawajui kabisaaaaa,
Akili kumkichwa.
Hawa jamaa ni WEZI,we umeona wapi fomu inajzwa kwenye mtandao na mkopo unapata kwa Mobile Transfers.
Maana comedy tupu,unajua kuna watu wanahisi kwamba haya ndio maisha yao ya utapeli,na hawa ndio siku zote vifo vyao vinakuwa vibaya sana,maaana Mungu huwa anawaadhibu kwanza hapahapa duniani kabla ya kupambanano siku ya mwisho.
Ni bora mkuu umekwepa huu mtego na kuwa muwazi,hawa watu wanatumia majina mengine sana na kila siku wanabadilisha.