Naomba kusaidiwa juu ya hii kampuni hii inayo toa mikopo bila riba

Naomba kusaidiwa juu ya hii kampuni hii inayo toa mikopo bila riba

Wadau wapenzi Naomba kusaidiwa juu ya hii kampuni ambayo imetangazwa leo mchana na kua inahusika na mikopo isiyo kua na riba.
SOCIAL CREDIT COMPANY
Mkuu acha usijaribu.
Huo ni usanii wa kinaigeria.
Au kama unafanya promo ya utapeli acha mara moja.
Watanzania sio wajinga kihivyo.

Kwanza ata europe haiwezekani kutumia utaratibu kama huo na kupata mkopo within 45mins.
 
Cha kwanza hii site haipo..... www.socialcompany.co.tz

Cha pili kwa nini nilipie fomu ya mkopo 27,000?

Tatu, ofisi imeanzishwa 2003 haina Mobile namba?

Wwapi registration?

Hiyo 27,000 fanyia kazi nyingine lkabla hujaliwa!!
 
Wiziiiiiiiiiii mtupu.
Siku hizi watu maisha wamayakatia tamaa,yaani mtu anadiriki na kukaa na mwenzie na kufiria namna ya kuibia wenzie.
Yaani kama mungu hawamjui vile kwa pesa.
Na kijidai ktumia Nembo ya Ngao ili waonekane ndio wenyewe.
Mkopo ndani ya Dakika 45 yaani chini ya saa moja we umeuona wapi.

Kwa kukusaidia tu Nimewasiliana na NBC na wamesema watu hao hawawajui kabisaaaaa,

Akili kumkichwa.


Hawa jamaa ni WEZI,we umeona wapi fomu inajzwa kwenye mtandao na mkopo unapata kwa Mobile Transfers.
Maana comedy tupu,unajua kuna watu wanahisi kwamba haya ndio maisha yao ya utapeli,na hawa ndio siku zote vifo vyao vinakuwa vibaya sana,maaana Mungu huwa anawaadhibu kwanza hapahapa duniani kabla ya kupambanano siku ya mwisho.

Ni bora mkuu umekwepa huu mtego na kuwa muwazi,hawa watu wanatumia majina mengine sana na kila siku wanabadilisha.
 
kwenye page za ipp media jana kwenye fb waliwapigia promo hao SOCIAL CREDIT COMPANY hasa kwenye page yao ya EATV
 
Ha ha ha haaa... eti wanapatikana 1st floor.., sijui ndo jengo gani hilo..! ujinga hauishi bongo...
 
Back
Top Bottom