Mgimilamaganga
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 271
- 260
Habari za muda huu wadau,naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?
Nimekutana nalo nikichimba kisima.
Nimekutana nalo nikichimba kisima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kama niliionaga kwenye chanel ya national geographic.Habari za muda huu wadau,naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?
Nimekutana nalo nikichimba kisima.View attachment 1212941View attachment 1212942View attachment 1212943View attachment 1212944View attachment 1212945
Hii kama niliionaga kwenye chanel ya national geographic.
Kama nakumbuka vizuri walisema Lina thamani zaidi ya madini ya Ruby
Liweke kwenye jiko la mkaa, ukiamka asubuhi utakuwa na majibu kamili.
YeahEti eh!
Mdau hilo ni jiwe la NyokaHabari za muda huu wadau,naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?
Nimekutana nalo nikichimba kisima.View attachment 1212941View attachment 1212942View attachment 1212943View attachment 1212944View attachment 1212945
Mdau hilo ni jiwe la Nyoka
Changarawe hiyo we endelea na kuchimba kisima kuukimbia umasikini sio kirahisi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Changarawe hiyo we endelea na kuchimba kisima kuukimbia umasikini sio kirahisi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini hizi siku umekuwa mkorofi zaidi....!!??Jiwe dogo la pembeni,.
Sijui kwanini hizi siku umekuwa mkorofi zaidi....!!??