edgar william clemence
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 233
- 218
Huu ujanja ujanja wa kuja na mawe kuyaulizia humu umekua mwingi. Kuna watu watalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ujanja ujanja wa kuja na mawe kuyaulizia humu umekua mwingi. Kuna watu watalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jiwe dogo la pembeni,.
HahhhahahahahaahVidole kama bisibisi
Kuna watu Mungu anawaona sanaa,.😂😂😂😂Hahhhahahahahaah
insha'Allah,upate stahiki kwa hicho ulichokiandika !Vidole kama bisibisi
Acha wivu asee!kama vipi njoo ujichukulie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Changarawe hiyo we endelea na kuchimba kisima kuukimbia umasikini sio kirahisi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tupe mrejesho lilikuwa jiwe gani..Habari za muda huu wadau,naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?
Nimekutana nalo nikichimba kisima.View attachment 1212941View attachment 1212942View attachment 1212943View attachment 1212944View attachment 1212945