Naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?

Naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?

😂😂😂😂😂😂 majibu ya wana jf ni kiboko
 
Kuna mawe mengine mpaka yapimwe ndio utajua la sivyo kila mmoja atajibu kipicha tu
Linaweza likawa na thamani na pindi ukijua ni almasi hapo ndio kazi inaanza aidha kuula au kuliwa
 
Changarawe hiyo we endelea na kuchimba kisima kuukimbia umasikini sio kirahisi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hizi shida tulizonazo kila tusichokijua tunaona deal tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom