Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo

Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo

  1. Nenda kwenye Mipangilio (Settings)
  2. Chagua "Privacy"
  3. Bonyeza "Customization Service"
  4. Zima chaguo la "Customized Ads and Direct Marketing"
 
Back
Top Bottom