Naomba kusaidiwa tafsiri ya ndoto

Tafsiri ya hio ndoto ni kwamba upo kwenye vita kubwa Sana na wachawi wanakutafuta fanya maombi funga siku tatu ukimuomba Mungu akulinde pia unaweza safiri kwa mda, usilale mfulilizo yaani masaa 8 lala kidogo amka, tumia vitu vikimbiza uchawi yaani ant witchcraft mfano kuna madini, mimea, nk badili mfumo wa kulala geuza kichwa chini au geuza location ya kitanda.Ondoa hofu amini awakuwezi hofu ni good conductor ya negative energy kukudhuru.
Kwa kufanya hivyo uwashinda.
Kama ni Mkristo jifunike na damu ya Yesu na hayo maroho ya mauti yatakimbia.
 
Watu wanalogwa kwa sababu ya kukosa maarifa ya kiMungu na ya kidunia. Jiulize kwann wakoloni waliweza wachukua utumwani mamilioni ya waafrika pamoja na uchawi wao. Still uchawi bado ni technology duni Sana ukilinganisha na aina zingine za nguvu za giza.
 
Jitahidi kusali Kwa Imani Kama ni mkristu jitahidi kwenda kanisani .
 
Zipo roho mbaya zinakufuatilia.

Means zina nguvu zaidi yako.

Dua na sala ni muhimu sana kwako
 
Pole Sana ..Kama Ni mkristo ufunge na kuomba.
Niliwahi kua muotaji was ndoto za kufanya mitihani ya chuo alafu simalizi..mara naota naokota ela 😂😂..nikawa najionea poa tu..ila baadae chamoto nilikiona
 
Majukumu bado ujaanza, utakuwa hujaoa, pili familia yenu mupo vizuri au zaid ya hapo ongezea.. Deni muhim bhan
Kweli sijaoa, kuhusu familia yetu ni ya kawaida lakini deni sina kweli mkuu.
 
MKUU ndoto zisikupe shida.... mbona mimi naotaga mandoto ya desingh hii unakuta naita napigana hata na watu mia wenye mapanga cha kushangaza na kuwa na nguvu za ajabu na hata wakinipiga panga siumii na kila kinachokuwa mbele yangu ni silaha haafu na kuwa ha uwezo mkubwa kama kukimbia nakimbia kwa kasi sana hta juu ya miti yaani kasi haswa au naweza nikajigeuza na kuwa na umbo dogo sana amabao hao wanaonitafuta wanashindwa kuniona au naweza nikapotea sehemu moja na kujitokeza sehemu nyingine ninayotaka au kuota mazombi sijui napigana nayo kinyama kwangu mimi nimejifunza kuconrol ndoto zangu au kujifunza kitu kipya cha kufanya na ndoto kwangu mimi ni sehemu natumiaga kuwa kama sehemu ya kufanya mambo amabayo siwezi kufanya kwenye ulimwengu huu mfano kua style flani ya kucheza ya michael jackosn kwenye smooth criminal anafanya kama anaanguka ila hafiki chini sasa kataika huu ulimwengu wa kawaida siwez na hakuna mtu anaweza kama asiposhikiliwa au kufungwa kamba ila kwenye ndoto huwa nafanya.... kwa mimi ndoto huwa sizichuliii kama ni mambo yanaweza kutokea kwenye maisha ya kawaida maana ..kwangu mimi ndoto ni raha yaani ni ulimwengu ninao ukocontrol na wakati na hua najua kwamba hapa naota ndo maana naweza kuanzisha varangati hata na maaskari najua siwezi kufungwa maan ni ndotoni au kama naona ndoto ni mbaya huwa naamka sio kushtuka yaani naamka mwenyewe kwa kujua sasa naiamke ushauri jifunze kukocntrol ndoto zako
 
Ulichokiandika ni ukweli mtupu kuhusu ndoto, yani unakuwa na uwezo wa ajabu kuliko kawaida.
 
Mkuu kwamba Wewe siku zote miaka yote huwa unaota aina moja tu ya ndoto yaani lucid dreams na hujawahi kuota aina nyingine za ndoto
 
kweli mkuu unaweza kuwa mmoja kati y awatu wachache duniani tunaoweza kuafanya lucid dreaming mkuu wewe jifunze kufanya chochote kie kwenye ndoti na kinatokea
Yani kuna wakati nikiwa napambana najisemea kimoyomoyo na yanatokea(mfano naweza kufanya flying kick ambayo kwa kawaida siwezi kufanya nje ya ndoto), naweza kupigana kwa style mbalimbali kama kwenye movies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…