Ahakikishe ana masaa mawili between dinner and sleepingAcha kula ugari usiku mkuu utakuja kunishukuru
siyo miaka yote na ni ngumu kumbuka nilianza lini ila ilitokea tuu ni kawa nafahamu au kucontrol kinachotokea kwanye ndoto ndio mkuu kila siku iendayo kwa mungu lazima niote au tuseme ninapopata usingizi lazima niote ... na cha kustaajabisha hata kama sikuhizi nikiota nikikutana na mtu anayenifahamu au ninaymemfahamu kwenye real life ambaye najua anaoishi au masiha yake kwa ujumla huwa najiuliza au wakati mwingine namuuliza wewe huku unatafuta nini au kimetokea nini kwenye maisha yako mbona hauko hiviMkuu kwamba Wewe siku zote miaka yote huwa unaota aina moja tu ya ndoto yaani lucid dreams na hujawahi kuota aina nyingine za ndoto
Sas Kama.huli ugali ndio tatizo pia unakula nn saasUgali ni chakula ambacho hata mchana situmii mkuu nina mwaka karibu wa tatu.
Very true, yani unakuwa na uwezo wa kujua kwamba hapa naota na inakupa ujasiri wa kufanya chochote ukijua hakina madhara kwani kuna time nitaamka na maisha ya kawaida yataendelea.ndo inavokuwa mimi naweza kukutana na mtu yeyote yule au kufanya chochote kile ndani y andoto ni raha sana.. mfano mambo haya haya ya kuomba ushauri kwneye ndoto kuna mtu aliwahi kuniambia ukikuta pesa ndotoni usiiokote basi kuna siku nikaota ndoto kama hii cha kushangaza niikumbuka na sikuiokota ile pesa na sikuizi siokoti hata kama nikiokota kipidi bado sijatambua kama naota nikijitambua kama naota nairudisha
Hata mimi kuna time naota nipo class napiga paper, sema inakuwaga rahisi sana.Mm binafs ndoto sinanizunbua moja Kati ya ndoto sipendi nikuota Niko dArasan wkt nimemaliza shule long tu au kuota Niko na wanafunzi was darsani kwangu wa fom six. Au fom 4 sipendi ndoto hyo na cjui maana yake n nn
Hahahahahah walikurudisha nyuma mazima😅!?Pole Sana ..Kama Ni mkristo ufunge na kuomba.
Niliwahi kua muotaji was ndoto za kufanya mitihani ya chuo alafu simalizi..mara naota naokota ela 😂😂..nikawa najionea poa tu..ila baadae chamoto nilikiona
Tena from hero to zeroooo....ile ZERO..😂😂Maisha haya acha tuHahahahahah walikurudisha nyuma mazima😅!?
Hizo za kuokota mashilingi ndio ndoto worst ila toka hapo sahizi upo makini na unachokiota eeh?Tena from hero to zeroooo....ile ZERO..😂😂Maisha haya acha tu
Yeah nipo makini aisee..zilivyotoka za mashilling ndiyo zikaja kukazana za mitihani..uwiiiii🤣🤣 chuo nimemaliza miaka 8 iliyopita cha kushangaza najikuta nafanya miitihani mara naenda kuishi hostel nasoma o level Yani tafrani...!!..nabadilishiwa tu episode 🤣🤣🤣🤣Nikaona huu Sasa ujinga nikaamua kuanza kufunga na kuomba weeeh...Hizo za kuokota mashilingi ndio ndoto worst ila toka hapo sahizi upo makini na unachokiota eeh?
Mie nimeota nakimbizwa na kaa jana usiku...
Duuh basi hicho ni kipawa mkuu maana hizo lucid dreams (ndoto ambazo unakuwa uko macho na unajua kuwa unaota na una uwezo wa kuzicontrol) kila mtu anaziota ila siyo kila siku! Kuna aina nyingine ya ndoto ambazo mtu huota ukiwa completely usingizini na hauna uwezo kabisa wa kuzicontrol!siyo miaka yote na ni ngumu kumbuka nilianza lini ila ilitokea tuu ni kawa nafahamu au kucontrol kinachotokea kwanye ndoto ndio mkuu kila siku iendayo kwa mungu lazima niote au tuseme ninapopata usingizi lazima niote ... na cha kustaajabisha hata kama sikuhizi nikiota nikikutana na mtu anayenifahamu au ninaymemfahamu kwenye real life ambaye najua anaoishi au masiha yake kwa ujumla huwa najiuliza au wakati mwingine namuuliza wewe huku unatafuta nini au kimetokea nini kwenye maisha yako mbona hauko hivi
Hahahahahahah maisha haya tunatafuta ila nasisi tunatafutwa yani ni fita muraa😅Yeah nipo makini aisee..zilivyotoka za mashilling ndiyo zikaja kukazana za mitihani..uwiiiii🤣🤣 chuo nimemaliza miaka 8 iliyopita cha kushangaza najikuta nafanya miitihani mara naenda kuishi hostel nasoma o level Yani tafrani...!!..nabadilishiwa tu episode 🤣🤣🤣🤣Nikaona huu Sasa ujinga nikaamua kuanza kufunga na kuomba weeeh...
Kukimbizwa na kaa 😂😂sijui maana yake ila nahisi si salama hiyo
Nini kilitokea badae yna?Pole Sana ..Kama Ni mkristo ufunge na kuomba.
Niliwahi kua muotaji was ndoto za kufanya mitihani ya chuo alafu simalizi..mara naota naokota ela [emoji23][emoji23]..nikawa najionea poa tu..ila baadae chamoto nilikiona