Naomba kusaidiwa vitabu vya Geography

Mr. BK

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
99
Reaction score
35
Waungwana Habari za wakati Huu!!
Naomba mwenye soft copies za vitabu vya Geography ambavyo vinatumika kwenye syllabus ya Tanzania na hasa vya O - Level anisaidie Mfano Human & Economical Geography na physical Geography vilivyoandikwa Msabila au vingine ambavyo viko relevant na hivyo.
Ambaye yupo tayari kunisaidia anijulishe hapa nimpe email yangu PM.
Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…