Hongera, ni matumizi sahihi ya teknolojia. No kuingia studio, no kuingiza vocal, na kuandika...just prompt.Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.
Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
UharoKama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.
Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
ππππWatu wako serious sana,hapo CCM wanataka uchaguzi ufanyike fasta,halafu wamuapishe mtu wao haraka,halafu waanze kusema tusameheane,tujenge nchi,Lissu hana HATIA,then watu watulie nchi iendelee kuliwa na wao tu.
Wimbo mzuri sana Mkuu...Hongera sana.Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.
Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
Jamaa amegonga penyewe......Jazz imetuliaWimbo mzuri sana,hongera sana.