sasa haujasikiliza unawezaje kuufanya wimbo wa taifa,Sijausikiliza hy ngoma ila nimeipenda sana hasa hapo ulipokuwa unasema No Reforms, No Election š„
Hii ngoma tunaweza kuifanya wimbo wa taifa
Kwenye kampeni tunaenda tukifika tunaimba no reforms no electionWatu wako serious sana,hapo CCM wanataka uchaguzi ufanyike fasta,halafu wamuapishe mtu wao haraka,halafu waanze kusema tusameheane,tujenge nchi,Lissu hana HATIA,then watu watulie nchi iendelee kuliwa na wao tu.
Kitu chochote kinachohusu kutetea haki za watu n lazima kiwe kizuri š„sasa haujasikiliza unawezaje kuufanya wimbo wa taifa,
yaani hili dude linapigwa kabla Heche hajasimama kuanza kuleta nondo
Hii ngoma inabidi iwe inaanza kupigwa kabla Heche hajaanza kutema madini yakešššKama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election".
Ni ruhusa kuutumia wimbo huu mahali popote bila kuhitaji ruhusa yangu ya ziada wala kulipa gharama zozote.
Kama umeupenda wimbo huu, share kwa wengine zaidi wapate kuusikia.
ni mzuri sana lakini haujalenga jamii ya kitanzania moja kwa moja kwa sababu lugha ya kiingereza watz ni 0.1% Tu ndio wanaweza kuishi.Wimbo mzuri NO REFORM NO ELECTION
Hujasikiliza ila hayo maneno umepataje?Sijausikiliza hy ngoma ila nimeipenda sana hasa hapo ulipokuwa unasema No Reforms, No Election š„
Hii ngoma tunaweza kuifanya wimbo wa taifa
Kwa kuwa ni mwanzo tu anaweza kuboresha na kulete nyingi zaidini mzuri sana lakini haujalenga jamii ya kitanzania moja kwa moja kwa sababu lugha ya kiingereza watz ni 0.1% Tu ndio wanaweza kuishi.
Inatakiwa aufanyie translation ili kila mtu auelewe atapata shabiki wengi sana . Ili uendane na jamii iliyomzungukani mzuri sana lakini haujalenga jamii ya kitanzania moja kwa moja kwa sababu lugha ya kiingereza watz ni 0.1% Tu ndio wanaweza kuishi.
Labda afanye ivo lkn English ni tatizo Sana bongoKwa kuwa ni mwanzo tu anaweza kuboresha na kulete nyingi zaidi
kabisaInatakiwa aufanyie translation ili kila mtu auelewe atapata shabiki wengi sana . Ili uendane na jamii iliyomzunguka
Yeah sio tatizo bali sema sio lugha yetu.Labda afanye ivo lkn English ni tatizo Sana bongo
au sio!Yeah sio tatizo bali sema sio lugha yetu.
Kwani mkuu wewe unakujua kimasai? Sasa kutojua lugha sio tatizo ni hali tu.
Lazima yatakuwepo tuu mana ndo imebeba nyimbo nzima š„Hujasikiliza ila hayo maneno umepataje?
HehehLazima yatakuwepo tuu mana ndo imebeba nyimbo nzima š„