Naomba kushare wimbo wangu mpya wa "No Reforms, No Election"!

Sijausikiliza hy ngoma ila nimeipenda sana hasa hapo ulipokuwa unasema No Reforms, No Election 🔥

Hii ngoma tunaweza kuifanya wimbo wa taifa
sasa haujasikiliza unawezaje kuufanya wimbo wa taifa,


yaani hili dude linapigwa kabla Heche hajasimama kuanza kuleta nondo
 
Watu wako serious sana,hapo CCM wanataka uchaguzi ufanyike fasta,halafu wamuapishe mtu wao haraka,halafu waanze kusema tusameheane,tujenge nchi,Lissu hana HATIA,then watu watulie nchi iendelee kuliwa na wao tu.
Kwenye kampeni tunaenda tukifika tunaimba no reforms no election
 
Hii ngoma inabidi iwe inaanza kupigwa kabla Heche hajaanza kutema madini yake😂😂😂
 
ni mzuri sana lakini haujalenga jamii ya kitanzania moja kwa moja kwa sababu lugha ya kiingereza watz ni 0.1% Tu ndio wanaweza kuishi.
Inatakiwa aufanyie translation ili kila mtu auelewe atapata shabiki wengi sana . Ili uendane na jamii iliyomzunguka
 
Kawimbo katamu balaa hlf kanachezeka.
Kama nikaone kakituma kuwaingiza maharusi ukumbini❤️

Ila sisi wa buza ungetutupia hata tu neno tuwili twa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…