Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

POMBE HAIJAWAHI ACHA MTU SALAMA
 
Wa madarasa 11 ndio nini ?
Uko shule ulienda kusomea ujinga au??
 
Bro, usjaribu kuiga/kuingia kwenye anasa!, trust me!, ni Bora uwe unajichanganya nao unatembelea sehemu wanazoenda wape hata ofa za bia lkn usizubutu kuonja pombe!. Uraibu wa pombe ni mbaya sana. Na asikwambie mtu unamaliza pesa sana hasa kwa mtu unaejitafuta. Acha wanywe wenye vyanzo vingi vya mapato kaka. Nakuambia hili kwa experience niliyo nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…