Naomba kushukuru, watu wa Mtwara

Naomba kushukuru, watu wa Mtwara

Nakumbuka nilikuwa na rafiki ambaye Kila kitu ukifanya hata Cha kawaida anasema "Asante" .... Baada ya kumuuliza kwanini anapenda kushukuru kwa kila jambo!

Akasema mama yake ndivyo alivyowafundisha ...

Kanda ya ziwa ... Ukitendewa wewe jambo na ukashukuru! Nao wanajibu "Asante kushukuru"
 
Back
Top Bottom