rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
dini Ni fumbo kubwa sana bila shakaSipajui mkuu, ila dini inatufundisha ndipo tutaenda kuishi daima na milele baada ya ufufuo wa ki roho kutokana na kifo cha hapa duniani kama tutafata amri zilizoshushwa na Muumba.
Faida za DiniMpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona
Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
Hapo sikutaja au kushadidia Taifa, nchi au kundi!!Mkuu Iran,Israel,Iraq,Syria amani hakuna
Upande wa maadili angalia wadangaji,washerati, wezi,Mafisadi,WANASIASA wao ni zero
Mkuu Iran,Israel,Iraq,Syria amani hakunaFaida zake:-.
Kuishi kwa Amani
Kuishi kwa maadili
Kuishi na binadamu wenzio (ndg. Jirani, wenza,nk nk) kea heshima na muamala, desturi.
Kutii amri za Muumba na kuomba msamaha unapohisi au kukosea..
Kutunza familia yako bila kubaka wanao!!! (Niwieradhi)
Kujenga matumaini ya ahera (maisha baada KIFO chako)
Karibu nikutsmbulishe Mwenyezi Mungu na sifa zake.
Umeaua mkuuKuwa mtumwa wa fikra
Dini sio fumbo, fumbo kubwa ni kifo maana hakuna anayeweza kukikwepa. Dini ni maamuzi kuchagua ya kuifata ama kuish bila kufuata dini yoyote.dini Ni fumbo kubwa sana bila shaka
Dini zinafaida zaidi ya hiyo uliyoitaja wewe, husasani kwa mtu mwenye Imani katika dini yake. Iko hivi binadamu ni mnyama Kama wengine lakini mwenye utambuzi wa level ya juu kuliko hao wengine katika kumudu mazingira yake. Ili binadamu awe na utu, dini huchangi pakubwa. Dini kwa mwenye kuamini ni kiunganishi au daraja la kuamini uwepo wa supernatural being, ambaye ni mwanzo na mwisho wa kuamua uhai wako. Huyo ndie tunamwita Mungu. Binadamu asiye amini uwepo wa supernatural being (God),huyo ni zaidi ya wanyama hatari unaowajua wewe. Hana utu ndani yake bali element za uovu. Sasa faida yake dini ni kuunganisha na supernatural being, ambaye yeye huamua hatima yako. Ukiamini ktk dini, tabia yako unakuwa regulated kuenenda kwenye misingi ya kiutu, kwa hofu ya kumkosea huyo supernatural being. Ukiwa muonga wa matendo yanayo muudhi (dhambi), unaingia sehemu nzuri aliyokuandalia after your life expires on Earth.Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona
Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa mtumwa wa fikra
Dah we jamaa una wivu Al shabab
Nahitaji kufahamu mkuu,maana dunia siielewi elewi kabisaNi mada ndefu sana ...naomba nikuulize unataka ufahamu au unataka kukejeli ?
Daah! hiki ulichokiandika hatari sanaDini ina umuhimu kwa Waislamu ila kwa upande wa wafuasi wa Yesu ( Wakristo) dini haina maana yoyote.Katika Biblia hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema alileta Ukristo.Hata agano la kale halijataja Ukristo.
Isipokuwa mataifa(Walimwengu) ndio waliwaita wafuasi wa Yesu Wakristo,kwa sababu ya kuwa na tabia na matendo km ya Yesu. Mtu anaeng'ang'ania dini yuko tayari kuua mtu mwingine ili kutetea dini yake,kitu ambacho ni zaidi ya ujinga.
MashaAllah umemaliza...Kitovu Cha ustaarabu