ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Kujenga mapema ni uoga wa maisha, weka heshima bar!Tumia pesa ikuzoee
We sema unataka ukanywe bia barwana jf, mnaoishi maeneo ya Bunju na Mapinga leo Niko weekend hii Niko huku navinjari kidogo, na kuondoa mawazo tatizo si mwenyeji wa huku , naomba mnifahamishe viwanja Vya kula bata na kujidai ili jioni hii nikajidai na Mimi
karibuni
Muandalie na mafuta laini.Naishi bunju pia njoo nyumbani kwangu mume wangu amesafiri nina bia za akiba kwenye frigde .
Uza nyumba weka heshima bar. jiandae Thad weekend tukaweke heshimaKujenga mapema ni uoga wa maisha, weka heshima bar!
Safi sana...kisha kesho asubuhi uloweke nguo zake zote.Naishi bunju pia njoo nyumbani kwangu mume wangu amesafiri nina bia za akiba kwenye frigde .
wewe umeweka heshima bar ngapi?!Kujenga mapema ni uoga wa maisha, weka heshima bar!
Kaulizie habari zangu kwa mameneja wa bar zote za hapa mjini, utapata jibu.πwewe umeweka heshima bar ngapi?!
unaishi BUNJU GANI nije tuleweNaishi bunju pia njoo nyumbani kwangu mume wangu amesafiri nina bia za akiba kwenye frigde .