ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
WanaJF mnaoishi maeneo ya Bunju na Mapinga weekend hii niko huku navinjari kidogo na kuondoa mawazo. Tatizo ni kuwa si mwenyeji wa huku hivyo naomba mnifahamishe viwanja vya kula bata na kujidai ili jioni hii nikajidai na Mimi
Karibuni
Karibuni