Naomba kutolewa tongotongo kuhusu hizi pesa za bure huku mtandaoni

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Kuna ukweli wowote baada ya kujiunga unapata hela kutoka ouk.money au kuna janja janja na mwisho wa siku unadesishwa?

Kwa maana watoa maelezo wenyewe hata maelezo yao hayajitoshekezi.

 
Mdao kadai kapata na kwenye comments kaweka ushahidi
 
Wadanganyifu tu hao.
 
Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
 
Unajaza email yako na PASSWORD...πŸ˜€πŸ˜€kisha unapokea mi$$ kimasihara..hakunaga vya bure!

Tupige nyungu kwelikweli!

Everyday is Saturday......................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…