Naomba kutolewa tongotongo kuhusu hizi pesa za bure huku mtandaoni

Naomba kutolewa tongotongo kuhusu hizi pesa za bure huku mtandaoni

Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
Aca kuongea watu usidhan kuwa huo ndo mtandao wa kwanza wa kujaza namba unataka watu waibiwe tu
 
Hivi ndivyo watengeneza pesa online
1588393379140.png

na hivi ndivyo unaitoa utaona jana nimetoa lak nane via atm na lak via paypal na tarehe 17 mwezi uliopita utaona nilitoa milion 1.2
dudu.jpg
 
Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
Haoingi akilini ujisajili tu upewe pesa za bite!!!?'wao wanapata faida gani?wao wanapata wapi hizo pesa za bure za kugawia watu?wao hawana ndugu wanaohitaji hizo pesa za bure?
 
Back
Top Bottom