Maradhi tote haya unatukana watu?
Huoni kwamba huu ni muda wa kuweka mambo yako sawa ili likitokea la kutokea unakwenda peponi. Kwanza unaye mtukana himjui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maradhi tote haya unatukana watu?
Aca kuongea watu usidhan kuwa huo ndo mtandao wa kwanza wa kujaza namba unataka watu waibiwe tuPesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
Haoingi akilini ujisajili tu upewe pesa za bite!!!?'wao wanapata faida gani?wao wanapata wapi hizo pesa za bure za kugawia watu?wao hawana ndugu wanaohitaji hizo pesa za bure?Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?