Mussa rapper
Member
- Nov 17, 2018
- 10
- 4
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni jumatano ya weeki iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo napo bado nafika ofisi ya tawi husika (Buhongwa) naambiwa bado kadi haijafika niende jumatano ya weeki ijayo ilihali kila siku natumia nauli kwenda na kurudi pasipo kujali umbali ninaokaa je ni halali?
Au kuna uzembe katika utendaji husika naomba kupata muongozo please