wingi van moses jr
Member
- Mar 4, 2017
- 9
- 0
Unataka kununua ama unauza?namba kuuliza bei za mchele sokon hapa dar maana nataka ni kama tani 2 na madalali mtawapataje
nanunua toka mkoani na kuleta darUnataka kununua ama unauza?
namba kuuliza bei za mchele sokon hapa dar maana nataka ni kama tani 2 na madalali mtawapataje
natoa mkoani moro maeneo ya ifakaraSina uhakika wa sokoni Daressallam lakini mimi ukinijulisha ni mchele wa wapi na aina yake nitakupa ofa yangu.
Kama tutakubaliana nitaununua. Nipo Misugusugu, Kibaha.
natoa mkoani moro maeneo ya ifakara
Habar mkuu una shida ya kilo ngapi na mchele wa aina ganiNitakupa 1600 kwa kilo
Habar mkuu una shida ya kilo ngapi na mchele wa aina gani
mchele wangu mimi ni supar kilo 1800Wewe unauza mchele wa aina gani mpya, mzuri kwa kula na usio wa chenga kwa bei hiyo?
Kusema kweli aina za michele sizijui, mimi nina duka la vyakula nimefungua juzi juzi tu hapa Misugusugu Kibaha.
Nitumie kwenye wasup no Hi 0715088880mchele wangu mimi ni supar kilo 1800
Mchele wa kawaida ni 1900Wewe unauza mchele wa aina gani mpya, mzuri kwa kula na usio wa chenga kwa bei hiyo?
Kusema kweli aina za michele sizijui, mimi nina duka la vyakula nimefungua juzi juzi tu hapa Misugusugu Kibaha.
Mchele wa kawaida ni 1900
mchele wangu mimi ni supar kilo 1800