Naomba kuuliza bei za mchele

Naomba kuuliza bei za mchele

namba kuuliza bei za mchele sokon hapa dar maana nataka ni kama tani 2 na madalali mtawapataje

Sina uhakika wa sokoni Daressallam lakini mimi ukinijulisha ni mchele wa wapi na aina yake nitakupa ofa yangu.

Kama tutakubaliana nitaununua. Nipo Misugusugu, Kibaha.
 
Habar mkuu una shida ya kilo ngapi na mchele wa aina gani

Wewe unauza mchele wa aina gani mpya, mzuri kwa kula na usio wa chenga kwa bei hiyo?

Kusema kweli aina za michele sizijui, mimi nina duka la vyakula nimefungua juzi juzi tu hapa Misugusugu Kibaha.
 
Wewe unauza mchele wa aina gani mpya, mzuri kwa kula na usio wa chenga kwa bei hiyo?

Kusema kweli aina za michele sizijui, mimi nina duka la vyakula nimefungua juzi juzi tu hapa Misugusugu Kibaha.
Mchele wa kawaida ni 1900
 
Back
Top Bottom