Naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Habarini za mida wana jf,

Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito naugua lakini ninachougua hakijulikani.

Yan kuna muda huwa natema tema mate ovyo ovyo lakin mke wangu yeye yupo vzr tuuu wala hana shida

Nimefanya vipimo karibia vyote vya kitabibu lakini hakuna ugonjwa wowote ambao unaonekana mwilini.

Nimeenda mpaka kwa wataalamu wa tiba mbadala hadi kwenye maombi imeshindikana bado hiyo hali niko nayo mpaka inanifanya kutoweza kufanya kazi.

Sasa naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?

Naomba mnisaidie.
 
Yap huwa inawapata wanaume wengi pindi wake zao wanapokuwa na ujauzito na ni syndrome ijulikanayo kama
COUVADE SYNDROME .
Haina shida mkuu itaondoka pale tu mkeo atakapojifungua so mpe support katika siku hizi ngumu anazopitia [emoji23][emoji23] uwe na siku njem.
 
Pole sana mzee baba mkeo anakuzid damu ana damu ya moto na wewe unadamu ya barid
Chakufanya hama home mzee hiyo hali haitojiludia kabisa
 
Doctors and psychologists agree that couples should speak frequently about their baby's future to soothe any fears men feel over becoming a parent. They encourage men to take an active role during the pregnancy.

Salvadoran psychologist Melisa Villeda says, "Communication between couples is key. Each one must express how they're living the experience of becoming parents, since this will inevitably change their lives and they must learn to deal with it as well as possible. If psychological or medical help is necessary because a patient's symptoms are overwhelming, each case must be evaluated and treated with either therapy or medication to alleviate the discomfort.”

Experts agree that the most effective treatment is to make the man feel he is an active and vital part of the process, whether by participating in childbirth classes or providing support during delivery.

It's important for couples, and especially future dads, to know that the symptoms of couvade syndrome are real and that a significant number of men whose partners are pregnant experience them. Taking the time to prepare for birth and parenthood can help them avoid feelings of anxiety and fear.
Copy paste from google solution ya hilo tatizo
 
HKL wangu ngoja aje hapa anifafanulie kwanza
 
Pole sana mzee baba mkeo anakuzid damu ana damu ya moto na wewe unadamu ya barid
Chakufanya hama home mzee hiyo hali haitojiludia kabisa
Sasa nikihama nan atakae msaidia kaz hapa home
 
Duuuuuhh mpaka ajifungue jamaaa
 
Duuuuuhh mpaka ajifungue jamaaa
Inakuwa inahusisha hormones sana sana unaweza kuipunguza au kuiondoa hiyo hali kwa kukaa mbali na mkeo yaani usilala naye kitanda kimoja wala kuwa naye karibu [emoji23] sasa kibongo bongo hii kitu haiwezekani na pia ki psychology unakuwa ni kama unamtenga huyo mwanamke so inakuwa kama unapunguza flani mapenzi cha msingi vumilia itaisha baada ya 9 months ila ukitaka iondoke risk KULALA NA KULA GUEST HOUSE [emoji23] [emoji23] Uwe na siku njema mkuu.
 
Inawezekana na wewe sio wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…