Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Habarini za mida wana jf,
Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito naugua lakini ninachougua hakijulikani.
Yan kuna muda huwa natema tema mate ovyo ovyo lakin mke wangu yeye yupo vzr tuuu wala hana shida
Nimefanya vipimo karibia vyote vya kitabibu lakini hakuna ugonjwa wowote ambao unaonekana mwilini.
Nimeenda mpaka kwa wataalamu wa tiba mbadala hadi kwenye maombi imeshindikana bado hiyo hali niko nayo mpaka inanifanya kutoweza kufanya kazi.
Sasa naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?
Naomba mnisaidie.