Naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?

Wataalam wa mambo asili wanasema kama mmelala kitandani akakuruka au ukamruka basi hali yake inahamia kwako,utapona akishajifungua
 
EXACTLY
 
The condition is called "Couvade syndrome "bro, there is nothing to fear. Msapoti zaidi baby mama,we jishughulishe zaidi na ujauzito wake in all ways possible. Hongera mkuu kwa Kuwa baba.
 
Ndio. Uhusiano upo
 
Ndio uhusiano upo
 
Nateseka sana jamam daaah
 
Yah,ilinisimbua sana,pia ni kipimo kama mtoto ni wako,kwa asilimia kadhaa
 
Mkuu hapo wewe ndio mjamzito hilo halina ubish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…