Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EXACTLYYap huwa inawapata wanaume wengi pindi wake zao wanapokuwa na ujauzito na ni syndrome ijulikanayo kama
COUVADE SYNDROME .
Haina shida mkuu itaondoka pale tu mkeo atakapojifungua so mpe support katika siku hizi ngumu anazopitia [emoji23][emoji23] uwe na siku njem.
Ndio. Uhusiano upoHabarini za mida wana jf,
Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito naugua lakini ninachougua hakijulikani.
Yan kuna muda huwa natema tema mate ovyo ovyo lakin mke wangu yeye yupo vzr tuuu wala hana shida
Nimefanya vipimo karibia vyote vya kitabibu lakini hakuna ugonjwa wowote ambao unaonekana mwilini.
Nimeenda mpaka kwa wataalamu wa tiba mbadala hadi kwenye maombi imeshindikana bado hiyo hali niko nayo mpaka inanifanya kutoweza kufanya kazi.
Sasa naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?
Naomba mnisaidie.
Ndio uhusiano upoHabarini za mida wana jf,

Nateseka sana jamam daaahInakuwa inahusisha hormones sana sana unaweza kuipunguza au kuiondoa hiyo hali kwa kukaa mbali na mkeo yaani usilala naye kitanda kimoja wala kuwa naye karibu [emoji23] sasa kibongo bongo hii kitu haiwezekani na pia ki psychology unakuwa ni kama unamtenga huyo mwanamke so inakuwa kama unapunguza flani mapenzi cha msingi vumilia itaisha baada ya 9 months ila ukitaka iondoke risk KULALA NA KULA GUEST HOUSE [emoji23] [emoji23] Uwe na siku njema mkuu.
Ah ah ah ah ah ah ah ah
Hata mim naonaKakuhamishishia mimba mkuu
Numbisa na ww ni mtaalam wa hayo mambo jamanWataalam wa mambo asili wanasema kama mmelala kitandani akakuruka au ukamruka basi hali yake inahamia kwako,utapona akishajifungua
Numbisa na ww ni mtaalam wa hayo mambo jaman