Kuna Doctor wa aina nne hapa
1. MD-wanaotibu hospital eg Dr ulimboka
2. Phd-Hawa wenye degree 3 eg Dr Slaa
3. Wakupewa aka magumashi eg Dr Kikwete, Dr mkapa
4. wakujipachika mwenyewe eg Dr Manyau, Dr Remmy wengine uenda mbali zaidi hadi uprofessa kama maji marefu wengi ni wasanii au waganga wa kienyeji