Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

yeah yeah, Jamani tuwe waelewa Vyuo vikuu vinapoanzishwa huwa wanakipengere kinachohusiana na kutoa Degree za heshima kama jukumu lao hata bibi yake Obama alipewa Degree ya heshima. Ila wabongo tunapenda misifa ya kipuuzi sana uanapopewa hizo si za kutangaza ni zakwenda kuweka kama pambo sebuleni kwako sasa mkuu wa nchi anatuaibisha kila sehemu kujiita hivo. Kwa Md, Phd ni stahili yao kuitwa hivo Md anaitwa hivo hata kama anadegree ya kwanza kutokana na taaluma yake wengine Mpaka tuitwe hivo mpaka uwe na degree tatu so Ulimboka ni Daktari wa watu na dr. slaa ni degree tatu ndo tofauti yake hiyo
 
Kuna Doctor wa aina nne hapa
1. MD-wanaotibu hospital eg Dr ulimboka
2. Phd-Hawa wenye degree 3 eg Dr Slaa
3. Wakupewa aka magumashi eg Dr Kikwete, Dr mkapa
4. wakujipachika mwenyewe eg Dr Manyau, Dr Remmy wengine uenda mbali zaidi hadi uprofessa kama maji marefu wengi ni wasanii au waganga wa kienyeji
 
uko sawa kabisa, na umesomeka kwa uzur sana.
 
Back
Top Bottom