manyike dede
Member
- Jul 10, 2016
- 37
- 19
Nina binti nilikuwa naye katika mahusiano. Tumekutana kimwili mara kadhaa. Kuna kipindi nilisafiri, katika safari yangu nilikaa miezi mitatu, nilipo rudi home nilikutana naye mara moja ambayo ilikuwa mwezi wa nne mwaka jana. Baada ya kukutana nilisafiri, mwezi wa sita nikapata taarifa toka kwa ndugu zangu kuwa huyo binti ana ujauzito wangu. Kutoa aibu nilikubali na kutekeleza taratibu zoote ikiwa kwenda hosp, na kwao. Nililea mimba mpaka kujifungua kwake
Swali linalo niumiza kichwa ni hili na ndo niombalo msaada kwenu
Nimekutana naye mwezi wa nne mwishoni, kajifungua wa kumi na moja mwanzon. Mtoto hakutoka njiti na hajafanana namimi, pia kawadanganya ndugu zake kuwa me ndo nimeuvunja usichana wake na wakat si kweli. Je kwa miezi ya mimba hadi kujfungua huwa inatokea wengine wanajifungua kabla ya muda? Au nimefanyiwa usanii
Sent using Jamii Forums mobile app