NAOMBA KUULIZA JAMAN.

NAOMBA KUULIZA JAMAN.

manyike dede

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
37
Reaction score
19
Nina binti nilikuwa naye katika mahusiano. Tumekutana kimwili mara kadhaa. Kuna kipindi nilisafiri, katika safari yangu nilikaa miezi mitatu, nilipo rudi home nilikutana naye mara moja ambayo ilikuwa mwezi wa nne mwaka jana. Baada ya kukutana nilisafiri, mwezi wa sita nikapata taarifa toka kwa ndugu zangu kuwa huyo binti ana ujauzito wangu. Kutoa aibu nilikubali na kutekeleza taratibu zoote ikiwa kwenda hosp, na kwao. Nililea mimba mpaka kujifungua kwake

Swali linalo niumiza kichwa ni hili na ndo niombalo msaada kwenu

Nimekutana naye mwezi wa nne mwishoni, kajifungua wa kumi na moja mwanzon. Mtoto hakutoka njiti na hajafanana namimi, pia kawadanganya ndugu zake kuwa me ndo nimeuvunja usichana wake na wakat si kweli. Je kwa miezi ya mimba hadi kujfungua huwa inatokea wengine wanajifungua kabla ya muda? Au nimefanyiwa usanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu get DNA asap. Itakuonesha kabisa kama mtoto ni wako.
 
Duuh!!

Unabambikiwa mimba, unabambikiwa na bikira.

Wanawake hivi mnakumbuka kuna Mungu.
 
Ok charles. Ila kinacho niumiza kichwa muda wa mimba. Nisije nikapoteza hela

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, tumia pesa kufanya DNA anaweza kuwa ni mtoto wako. Kama atakuwa mtoto wako pesa yako imetumika vizuri sana, kama siyo mtoto wako pesa yako pia itakuwa umetumia vizuri. Kwa sababu utakuwa na uhakika kama ni mtoto. Pia itakupa peace of mind. Win win situation Mkuu.
 
Mkuu kapime DNA ili uwe na amani ya moyo. Taratibu za DNA si ngumu kama wengi wanavyodhani.
 
Inatokea kukosea kuhesabu miez bt tatzo kwann hukumuoa na badala yake umeparamia ?
 
Back
Top Bottom