Fredy89
Member
- Jun 28, 2012
- 96
- 102
Habari zenu wakuu!
Huje moja kwa moja kwenye kichwa cha habari,je inawezekanaje mwanamke aende kutoa mimba bila doctor kuungilia(kujamiana) kutoka na hospital nyingi madoctor ni vijana au pengine doctor lazima atake kujamiana pindi anapomaliza kazi yake.swali langu ni kwamba daktari anaweza kuvumilia mpaka kumaliza kazi yake bila kutamani kwa sababu watoaji mimba wengi ni chini ya umri wa miaka ishirini.ushauri wemu wakuu.
Asanteni sana