NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 660
- 456
Salaam
Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji wanasema mama vein hazipatikani...huku mtoto ameishiwa nguvu..wamemchoma kwenye kichwa,shingo mkononi wanasema hawaoni...nisaidieni kujua kama kuna njia nyingine..mwisho wa siku wanasema tumpe maji fulani hivi ya chupa yenye chumvi kwa mdomo..