Naomba kuuliza kama kuna chombo/njia rahisi cha kusaidia kuona "vein" haraka

Naomba kuuliza kama kuna chombo/njia rahisi cha kusaidia kuona "vein" haraka

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
660
Reaction score
456
Salaam
Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji wanasema mama vein hazipatikani...huku mtoto ameishiwa nguvu..wamemchoma kwenye kichwa,shingo mkononi wanasema hawaoni...nisaidieni kujua kama kuna njia nyingine..mwisho wa siku wanasema tumpe maji fulani hivi ya chupa yenye chumvi kwa mdomo..
 
You can feel the bumping with your fingers. Mpe maji au any liquid anywe itaongeza circulation na itakuwa rahisi kuzipata.
 
Acha ujinga mkuu, hata wakikwambia ipo mashine hyo,

Wew itakusaidia nn, wew pambana na hospital uliyo enda, acha longo longo.

Madactar sio wajinga hadi kufikia hicho walicho kwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mashine zipo ila sidhani kama tz tunazo
Af afterall kutafuta veins ni kazi ya madaktari na manesi wanajua wanachokifanya
Hayo maji waliyokupa ni kwa ajili ya kuongeza presha ili veins ziweze onekana
Acha mwalimu afundishe mhandisi ajenge hakimu ahukumu na daktari atibu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa ndipo kazi ya u daktari inapoanza kuboa, mtu wajua kabisa yeshakushinda huko utokako umekuja kuomba msaada watu wakutibie still muongozo wautoa wewe... sio ajabu ukaskia dr akwambia siwez kuendelea matibabu na wewe naomba uende utakapoona kwafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata maagizo ya Wataalamu, Muombe Mungu Pia Mapenzi yake yatimizwe.
 
Back
Top Bottom