Salaam
Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji wanasema mama vein hazipatikani...huku mtoto ameishiwa nguvu..wamemchoma kwenye kichwa,shingo mkononi wanasema hawaoni...nisaidieni kujua kama kuna njia nyingine..mwisho wa siku wanasema tumpe maji fulani hivi ya chupa yenye chumvi kwa mdomo..
Hizo mashine zipo ila sidhani kama tz tunazo
Af afterall kutafuta veins ni kazi ya madaktari na manesi wanajua wanachokifanya
Hayo maji waliyokupa ni kwa ajili ya kuongeza presha ili veins ziweze onekana
Acha mwalimu afundishe mhandisi ajenge hakimu ahukumu na daktari atibu
Hapa ndipo kazi ya u daktari inapoanza kuboa, mtu wajua kabisa yeshakushinda huko utokako umekuja kuomba msaada watu wakutibie still muongozo wautoa wewe... sio ajabu ukaskia dr akwambia siwez kuendelea matibabu na wewe naomba uende utakapoona kwafaa