Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote hapa aliyewahi kufanya practial interview ya nafasi ya ICT OFFICER - SOFTWARE DEVELOPER Utumishi

Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote hapa aliyewahi kufanya practial interview ya nafasi ya ICT OFFICER - SOFTWARE DEVELOPER Utumishi

Joined
May 8, 2025
Posts
10
Reaction score
11
Habari,

Ningependa kujua samples questions wanazo uliza, secondly if job description haija specify language unaweza kuta language yyte?
 
Hakisha unajua React au vue kwa upande wa client na upande wa backed uwe unajua laravel , django na zingine za java au JavaScript bila kusahau API
 
Back
Top Bottom