Naomba kuuliza kuhusu Agakhan Hospital

Naomba kuuliza kuhusu Agakhan Hospital

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
Naomba kuuliza wadau agakhan hospital wanatibu kwa bima ya afya ya green ya NHIF na kumwona Specialist pale ni kiasi gani?
 
Naomba kuuliza wadau agakhan hospital wanatibu kwa bima ya afya ya green ya nhif na kumwona specialist pale ni kiasi gani

Hawatibu kwa bima za NHIF isitoshe siku hizi bima za NHIF ziko sawa kidaraja. Zote unatibiwa kokote. Kuliko na NHIF.
Bt why agha khan usiende muhimbili kitengo cha bima ya afya pale ocean road hospital? Ugonjwa ukiwa mkubwa vipimo muhimbili.
 
Pili specialist wazuri wote muhimbili wapo na bima pia ni acceptable!
 
Naomba kuuliza wadau agakhan hospital wanatibu kwa bima ya afya ya green ya nhif na kumwona specialist pale ni kiasi gani

Kwa mwaka jana kama sikosei ilikuwa sio chini ya shilingi 30,000
 
Hawatibu kwa bima za NHIF isitoshe siku hizi bima za NHIF ziko sawa kidaraja. Zote unatibiwa kokote. Kuliko na NHIF.
Bt why agha khan usiende muhimbili kitengo cha bima ya afya pale ocean road hospital? Ugonjwa ukiwa mkubwa vipimo muhimbili.

Muhimbili watampokea bila kupewa rufaa?
 
Back
Top Bottom