Naomba kuuliza kuhusu kampuni ya Alliance global


kampuni ya fursa kwa watu fursa
 
Tupeni mrejesho kuhusu izi kampuni watu wengi wanasema ooh nimestaafu serikalini ili nitengeneze pesa nzuri katika maisha yangu.
 
Tupeni mrejesho kuhusu izi kampuni watu wengi wanasema ooh nimestaafu serikalini ili nitengeneze pesa nzuri katika maisha yangu.
Kama unamuda + pesa zakupoteza jiunge na hayo makampuni, yaani huwa nashangaa kijana wa kisasa hivi unakubalije kuingizwa mkenge na hao jamaa,
Huu muda vyuo vinafunguliwa ndo wanaanza kutafuta wajinga wakuwapiga pesa za boom ,kunalijama limoja limehitimu udsm lakini bado linazungukia maeneo ya chuo kutafuta watu.
 
Ahsante mkuu kuna jamaa alikuja job akawapa watu semina aisee nimeamini tunataka vitu vizuri kwa haraka mwisho wa siku maumivu tu wanasema one million kila mtu analazimisha kumbe kuna scam wanazingua kweli
 
Ahsante mkuu kuna jamaa alikuja job akawapa watu semina aisee nimeamini tunataka vitu vizuri kwa haraka mwisho wa siku maumivu tu wanasema one million kila mtu analazimisha kumbe kuna scam wanazingua kweli
Kweli bro, bora hiyo pesa unayowachangia ukanywe bia, au ufuge hata kuku au ufanye forex angalau unaweza fidia pesa yako.
 
Ahsante hivi unaanzaje kumwambia mtu maisha bora wakati mtu ana moka imechakaa kweli inabidi mtu ujiongeze ni hayo tu.
 
UKIWA ULIZA LESENI YA KAMPUNI ,,,, OHHHHHH ASEEEEEEEEEEEEEEEEEE MPAKA UNAWAONEA HURUMA ASEEEEEEEEEEEEEEEEEE




DAH NILIONA BORA NIONDOKE TUUU MAAANA SIO KABISA
 
kuna mdada nlisoma nae chuo hachoki kunishawishi na picha za waliofanikiwa kwa miezi michache wakati yeye ana mda mrefu ata boda boda hana, wanapendaga kuvutia watu kwa picha za mifano ya watu wanaodai walifanikiwa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
one million "Clap"
Two million "Clap Clap"
Three Million "Clap Clap Clap"
Two Million "Clap Clap"
One MIllion "Clap"


Ha ha ha ha wajanja WameelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
one million "Clap"
Two million "Clap Clap"
Three Million "Clap Clap Clap"
Two Million "Clap Clap"
One MIllion "Clap"


Ha ha ha ha wajanja WameelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Aaaah na forever living
 
Natumaini wrote hamjambo. Mimi hapa leo naomba kuuliza kama kuna MTU mwenye kujua kampuni inayojitambulisha kama Alliance in motion na shughuli zake hapa Tanzania.
iyo laki tano na stini bora ufanye shughuli nyingine hao jamaa hawana tofauti na matapeli wanakuvuta ukishaingia hawana habari na wewe utakutana nao wamevΓ a suti na story kibao sijui mwaka huu nanunua magari Mara nataka ninunue like gorofa na stories nyinginenyingine za uongouongo kunajamaa mwaka juzi walipofika Mwanza akaanza kunishawishi nijiunge nisichelewe Mara mwakani nanunua gari yaani mwaka Jana chaajabu Leo anakuja analialia anaomba mpaka sh.400 yanauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…